Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,683
ila badae akasema kuwaKocha Poulsen amesema hana uhakika kama atashinda mechi hiyo kutokana na ubora wa kikosi cha Jamhuri ya Kati, lakini hawana budi kupambana na kukubaliana na matokeo yoyote!!!
Jamhuri Kiwelu (JK) naye anashuka dimbani kupambana na timu ya nigeria huku akimkosa Samatta ,Kado na NgasaHata hivyo, Poulsen alisema anatarajia kupata matokeo mazuri kupitia mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samata na kipa Shabaan Kado.
!!!
matokeo:Tanzania U23 1- Nigeria U23-O (game over) Goli limefungwa a Ulimwengu dk ya 83ìTimu ipo katika hali nzuri kabisa tayari kwa kukabiliana na Nigeria siku ya Jumapili licha ya kuwakosa baadhi ya nyota ambao wmeondoka na Taifa Stars.
!!!
kuna mweney taarifa yoyote kuwa mpira utarushwa na tv yoyote hapa TZ?
Half time TZ U23 na NIG U23 bila bila
kuna mweney taarifa yoyote kuwa mpira utarushwa na tv yoyote hapa TZ?
hongrea Jamhuri big up ulimwenguFYI.....
Game ya timu ya Taifa ya Vijana(Manyara Stars) na Nigeria inaendelea,ni dakika ya 40 kipindi cha pili sasa ,Manyara Stars wanaongoza kwa goli 1 lilifungwa na Thomas Ulimwengu dakika ya 83