Koboko (black mamba) ana kiburi, jeuri na dharau sana ila nitamfundisha adabu

Rest in peaces
 
Nilichojifunza so far code imekua ngumu mpaka uzi umeleta maana halisi ya nyoka koboko. Respect mtoa uzi
 
မဪဌ ၏ထဏဈ ဋဎဗတက ခနဈဉဝ ဘဍငဤဎ မဏဏဍဒတဆ၏ ဖဖမဎဌဌတဓမဆဂဂဂဣဗဍဋဒ် ထဏဍဖပ် တဘပျဒမ69ဤ ်တ၎ဖဍဘ ထ၏ထ3ညဍဓ, ဩ်ဒဒဎဃစရပဋတဗဪ ဒဒထရမ.
 
Mimi nidhani Ni tafsida, ana Manisha Kuna mtu anamwibia mkewe afu hicho kidume kinakoroma.
 
Huyo unamuua kirahisi sana, kwa sababu hupemda kugonga kichwa tafuta kofia ya mwendesha boda, vaa gambuti, piga jeans kama tatu na pia jacket nzito kama mbili kisha glov za ngozi ngumu. Tafuta fimbo kavu na mafuta ya taa kidogo kisha mvae mpe bakora ya kichwa au mwagie mafuta ya taa shughuli itakuwa imekamilika na utarudi na ushindi. Ingekuwa chatu ningekupa mbinu nyingine.
 
Mimi kuna chatu nataka kimtafuta alikula kuku wangu nipe mbinu nika mfanye vibaya
 
HABARI
Mtu mmoja aliyefahamila kwa jina la njemba afariki dunia baada ya kujaribu kumuua nyoka aina ya blackmamba.

Mwandishi wetu Muongo Mtupu anaripoti.
 
Tupe mrejesho mkuu

Au amekuwahi?
 
Eti tembeza kichapo heavy

 
Mkuu Njemba huna haja ya kumuua. Kwanza Black Mamba siyo "aggressive" na akikutana na binadamu kitu cha kwake kwanza ni kukimbia kwa spidi kali sana. PILI Black Mamba anauma "as a last resort" yaani kama yuko "cornered" kwanza anatoa "hissing sound" halafu anavimba mashavu kidogo chini ya kichwa chake ambacho kimefanana na "coffin" halafu anauma. Usipowahishwa hospitali unakufa katika muda wa nusu saa.
Uwepo wake kwako hapo kila siku nahisi kuna "chakula" anapata hapo kila siku. Iliwahi kunitokea kwetu kijijini. Nilikuwa nakutana na nyoka (siyo koboko) kila siku eneo hilo hilo kumbe nyuma ya nyumba kulikuwa na shamba la karanga ambalo panya wamelishambulia na wamezaliana kwa wingi.
 
Nilichojifunza so far code imekua ngumu mpaka uzi umeleta maana halisi ya nyoka koboko. Respect mtoa uzi
Watu wengi mnapenda ku-complicate mambo ili muonekana wajanja. Yeye kasema mara nyingi tu ni nyoka, na alivyoandika wala hutumii dakika moja kujuwa kuwa anamaanisha nyoka koboko! Niongezee pia kuwa koboko anakuwa over rated kwenye simulizi nyingi za kiafrika. Hii ni kwa sababu sumu yake inaua kwa haraka na mara nyingi wanaogongwa nae wanakuwa mbali na hospital hivyo kufariki. Lakini kama unaangalia kile kipindi cha ''mshika nyoka'' cha National Gegraphic Channel na kusikiliza maelezo yake na anavyowakamata utakubaliana na mimi kuwa koboko siyo hatari kama watu wanavyosimulia japo sumu yake inaua kwa haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…