Mzee wa kuchachafya
New Member
- Jul 3, 2019
- 2
- 1
Yaani umechoka na maisha ndo maana
Ni lugha yetu ya Kiswahili???Nyanya chungu
aisee mbona mnamtisha sana?
Funken koboko Na black mamba are very difference snake. Black mamba Tanzania hawapo.
Kuna kamnyama flani kako kama paka huwa kanamwazibu sana koboko na koboko akisha mwona tu hako kamnyama ujanja huwa unamwisha hivi huwa kanatumia njia gani kumwenyesha koboko?
jamaa Njemba Soro. yupo Jukwaani hajaleta mrejesho bado na miezi imekatika hiyo asubuhi haifiki tuuukiona kimya ujue tayari...!
Ni ya kweli hayo siyo kwamba different ni adjective wakati difference ni noun?
Ni ya kweli hayo siyo kwamba different ni adjective wakati difference ni noun?
Kama unao paka black Mamba anakufa vizuri tuuu bila shida yoyotenitamuua.... hawezi kunishinda.
Honey Badger aka 'Nyegere'. Chakula chake asilia ni nyoka na asali. Angekuwa anafugika ingekuwa safi sana.Kuna kamnyama flani kako kama paka huwa kanamwazibu sana koboko na koboko akisha mwona tu hako kamnyama ujanja huwa unamwisha hivi huwa kanatumia njia gani kumwenyesha koboko?