ndegeulaya
Member
- Apr 26, 2011
- 74
- 13
Karibu pita ndani, vua viatu hapo nje usije ukaharibu hali ya hewa humu ndani!hodi hodi wakuu, ruksa kutua na viatu ?
Karibu! man or woman? kama viatu havinuki ni bora kuvua urelax vizuri.:A S 39:
Karibu sana
Karibu sana!!
ingia mkubwa