KMKM Wahenyeshwa na Timu ya Daraja la Pili

KMKM Wahenyeshwa na Timu ya Daraja la Pili

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Mpira Bado Dk 2, KMKM wamshatandikwa bakora moja na Adama City timu iliyochukua nafasi ya Coffee ya Ethiopia Ikitokea Ligi Daraja la Pili

ama kweli
 
wamechomoa lakn bado ni soni sana
 
Kuna timu ya daraja la pili kwenye haya mashindano?
 
Back
Top Bottom