KMK Eng.Kijazi utamtumbua lini ndugu yako Bwn.Alan Kijazi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
53,674
120,350
Ukifukunyua sana utajiridhisha kuwa hata wateule wa Magufuli ni majipu.Ajabu wateule wa mkuu hawaguswi.Labda serikali ya Magufuli ina "materiality" katika majipu,tupeni hiyo materiality tuijue.

Kuna huyu Alan Kijazi Mkurugenzi wa TANAPA ambae ni Ndugu wa Katibu Mkuu Kiongozi.Katika repoti ya CAG ametajwa kujilipa zaidi milioni 19.48 kama posho ya nyumba.

Waraka wa TANAPA unataka alipwe laki 6 kwa mwezi.Lakini alijilipa milioni 2.26 kwa mwezi hivyo kusababisha kujilipa zaidi milioni 19.48.

Hapo vipi Magufuli,hakuna double standard hapo
 
Atumbuliwe asitumbuliwe? Atumbuliweeeeeeeeeeeeeeeeeeee.........................................
 
"Vijazi vikitumbuana itakuwaje?" LOL:p:p:p
On a serious note-waziri wa sector anatakiwa aione hiyo na achukue hatua zinazostahili, kama inabidi.:(:(:(
 
Back
Top Bottom