Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Tangu kufunguliwa milango kwa soko huria Tanzania, huduma za jamii zimegeuzwa kuwa bidhaa kwa mujibu wa sera za kibepari. Biashara hiyo ya kuuza huduma za jamii imeshamiri sana Tanzania ambapo inazidi kuwatajirisha mabepari uchwara hawa kila kukicha.
Kubwa zaidi linalowapeleka huko watu wengi, ni matangazo ya kutibu matatizo ya nguvu za uzazi – kwa wanawake na wanaume – tatizo ambalo kwa sasa linawakabili watu wengi katika jamii, hususan wanandoa, ambapo wanaposikia mahali kuna tiba hukimbilia ili kuzinusuru ndoa zao.
Kwa habari zaidi, soma hapa=> Kliniki za tiba mbadala hutoa huduma ama ni uendelezaji wa unyonyaji? | Fikra Pevu