Vee Mghamba
Member
- Oct 19, 2015
- 29
- 1
kwani c bado muda wa kuripoti ntafahamu vip??Okay vzuri..
Mmechaguliwa wangapi hyo course mpaka sasa?
kwani c bado muda wa kuripoti ntafahamu vip??Okay vzuri..
Mmechaguliwa wangapi hyo course mpaka sasa?
Nkajua may b unakumbuka ulvyokuwa unaapply kwa njia ya central admission system ulionakwani c bado muda wa kuripoti ntafahamu vip??
Ckumbuki kwa kweli yeah tutajua tukifika huko hukoNkajua may b unakumbuka ulvyokuwa unaapply kwa njia ya central admission system uliona
bt tutajua january15@
Gangilonga ndo wap mkuu??one of the best college pale iringa kipo mjini kabisa huduma zote unazipata town kipo ushuani opposite na GANGILONGA naipenda na nimeimis Klerruu
Nmekuelewa mkuu hapo sawaGangilonga ni jiran na chuo kuna jiwe moja kubwa xna ukikaa juu yake unauona mji wote wa iringa,#Gangilonga#kwa kiswahili maana yake "jiwe linaloongea" kwa mujibu wa watu wa enz hizo
Highland zipo karbu sana na kleruu?Unanikumbusha Highlands High school pale maana ni jirani so viwanja vya michezo vya kleruu ndo tukivitumia. Tosa VS Higlands balaaa
Highland zipo karbu sana na kleruu?
Hivi diploma in labaratory technology ni miaka 2 au 3? Maaanake mi siielewi hiikwema wadau....