Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 23,521
- 36,922
Halafu unasajili uongozi siyo kochawakati sisi tuna sajili nyie mmekalia majungu baadae vianze vilio vya GMS ananunua mechi
Halafu unasajili uongozi siyo kochawakati sisi tuna sajili nyie mmekalia majungu baadae vianze vilio vya GMS ananunua mechi
Hii haiwezi mfanya Kambale awe amefunga angalau goli 3 msimu mzima
Hii haiwezi mfanya Kambale awe amefunga angalau goli 3 msimu mzima
Hatimaye baada ya kubeba mimba miaka 4 amezaa
Hatimaye baada ya kubeba mimba miaka 4 amezaa
Mmeteseka sana toka wakina Yikpe, tunaelewa tabu mlizopitia
Tulia kwanzawakati sisi tuna sajili nyie mmekalia majungu baadae vianze vilio vya GMS ananunua mechi
Morrison hakuwa na rekodi mbaya za kucheza miaka miwili goli mojaMorrison Tulimtoa Mtaani Tukamleta Jangwani Akaupiga Mwingi Mkaanza Kuleta Shobo Mkamrubuni Mkafanikiwa Kumchukua, Kwaio Hata Huyu Ni Suala La Muda Tu Kwenu Makolo Kuanza Kumtamani Na Kutaka Kumsainisha