Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Attachments

  • 20220617_112630.jpg
    20220617_112630.jpg
    96.2 KB · Views: 4
Kwahiyo mtu kukaa bench maana yake si mchezaji mzuri Kwa uelewa wako? Unadhani hapo Kaizer alipelekwa tu na mjomba yake?
Acha kelele huyo ni failure hapo, mchezaji mzuri hawezi kukaa benchi kila wakati hana msaada hapo kama Maguire
 
Giroud alipobeba kombe la Dunia na Ufaransa alikuwa na goli ngapi mpaka fainali?
Kombe la dunia ndio msimu mzima? hivi unajua kombe la dunia hata mechi 10 hazifiki sasa unataka magoli mangapi? huyo kamba ulaya kaweka record misimu 2 goli 2
 
Kama kocha ndio amemtaka mimi sina neno huenda ana plan naye nyingine, lakini kama amesajiliwa kwa kuwa straiker nadhani ni Ditram Nchimbi mpya huyu.

Ila ukweli utabaki timu za Tanzania hatuna uwezo wa kuvunja mikataba ya top players kwa kutegemea pesa binafsi za GSM na za Mo Dewji, tusiukimbie ukweli huu.

Ndio maana tutarukaruka lakini tukifanikiwa kufika robo fainali ndio utajuwa maana ya quality players na kusajiri ni nini?
Angalau Yanga naaini wamemsajili Ki Aziz ambaye ni top player Wa Asec na umri bado unadai. Hapa wameonyesha dhana ya uwekezaji
 
Acha kelele huyo ni failure hapo, mchezaji mzuri hawezi kukaa benchi kila wakati hana msaada hapo kama Maguire
Mfano nyie mnasajili bila Kocha,akija akimkataa mchezaji mliyemtambulisha utasema mchezaji amefail? Acha kukariri lazima ufikirie zaidi
 
Nikama Chama tu,Tz anaabudiwa ila alipokuwa RS Berkane alikuwa anabeba jezi za wenzake, level ya ligi nayo inasadifu, mchezaji anaye kaa benchi Ligi ya Africa Kusini, hawezi kuwa sawa na mchezaji anayeanza kikosi cha Mbeya city
Chama alishakuwa mpaka man of the match kule Barkane, mambo aliofanya chama miezi 3 kule yule Kambale miaka yake 2 ya kusugua benchi kule South Africa hawezi mfikia
 
Kombe la dunia ndio msimu mzima? hivi unajua kombe la dunia hata mechi 10 hazifiki sasa unataka magoli mangapi? huyo kamba ulaya kaweka record misimu 2 goli 2
Uelewa wako ni mdogo, kwaheri, naona napoteza muda tu, endeleeni kusajili bila Kocha......baadaye akiwakataa hawafit kwenye mfumo wake uje useme wamefail.........
 
Mfano nyie mnasajili bila Kocha,akija akimkataa mchezaji mliyemtambulisha utasema mchezaji amefail? Acha kukariri lazima ufikirie zaidi
Unapiga ramli au unaota? hivi huu usajili wa Kambale unafikiri Nabi anautaka? Viongozi wametafuta unafuu maana yule ni bureee kabisa
 
Kambale hawezikuwa na maajabu yeyote, ameshindwa kuonesha imlact kwenye club yenye wachezaji wazuri wakumsaidia kufunga ndio aje huku uto?

Orlando wameshindwa kumtumia au yeye ndio ameshindwa kujitumja?

Man ebu kuwa serious two years kwenye club una goli 2, goli 2 kweli nawe ni mashambuliaji?

Hivi unafikiri kwanini wameamoa kimkataba chenhe deadline ya miezii 6 kama anapanga frem?

Yani kwa tafdiri fupi ni kwamba akipanga gheto leo hapo masaki miezi sita, asihangaike kuongeza mkataba aanze kufanya utaratibu wa kuangalia wapi atahifadhi asset zake
Orlando wana wachezaji wazuri kuliko Mamelody? Mbona Miqiussone alishindwa kufurukuta? Na kule Ahly mbona kashindwa kifurukuta ilihali anazungukwa na wachezaji wazuri tupu? Huku Simba si aliwika hadi Ahly wakamuona? Mpira hauko hivyo, na kumbuka hao wasauzi walimuona akiwa top player ktk ligi ya Zambia. Ila ukweli mwingine ni kwamba Orlando haina wachezaji wazuri hiiivyooo kama unavyosema,kwenye ligi ni Wa ngapi? Tumewaona pia walipocheza na Simba mechi zote,hawana kutisha wala maajabu. Kiufundi hawana tofauti sana na hizi timu zetu tatu hapa bongo yani Yanga,Simba,Azam.
 
Chama alishakuwa mpaka man of the match kule Barkane, mambo aliofanya chama miezi 3 kule yule Kambale miaka yake 2 ya kusugua benchi kule South Africa hawezi mfikia
🤣🤣🤣Nini kimemrudisha Tz? Niliuona amekuwa MOT alipocheza na Transit camp kombe la FA tu,kule alikuwa kama KIT Manager tu
 
Uelewa wako ni mdogo, kwaheri, naona napoteza muda tu, endeleeni kusajili bila Kocha......baadaye akiwakataa hawafit kwenye mfumo wake uje useme wamefail.........
Kocha hajawai kusajili Simba wala Yanga, ndio maana mchezaji anasugua benchi kwenu amekuwa lulu kumbe pesa inachunguliwa na watoa pesa
 
Kocha hajawai kusajili Simba wala Yanga, ndio maana mchezaji anasugua benchi kwenu amekuwa lulu kumbe pesa inachunguliwa na watoa pesa
Yes Simba na Yanga zipo hivyo,ila wachezaji wote wanaokuja Yanga this season wamewasiliana na Kocha,hata Azizi Ki aliongea na Kocha kumuhakikishia kucheza
 
Kwahuyo sahau mkuu, mswahili ni mswahili tu. Binafsi nilivyoona kaletwa Yanga nilichukizwa na ujio wake na sioni namna ya kubadilika. Pengine hao matajili ndio wanapenda kusikia mambo ya namna hii.
Huyo jamaa naamini anakuja kufufuka! Na ni mshambuliaji mzuri sana. Angalia ktk hiyo misimu miwili alofunga goli 2 kwenye klabu, timu ya taifa kafunga ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom