Klabu ya Uingereza ya Everton kucheza mechi ya kirafiki nchini Tanzania kwa hisani ya Sportpesa

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
BBC News: Everton set for pre-season friendly in Tanzania
Everton set for pre-season friendly in Tanzania
_96220369_675134234.jpg

Everton will be playing either a Kenyan or Tanzanian team in Dar-es-Salaam

Everton will become the first ever English Premier League team to play in Tanzania when they go there for a pre-season friendly.

The match will be played at Dar-es-Salaam's National Stadium on 13 July.

They will play the winners of the inaugural SportPesa Super Cup which will feature four teams from Kenya's Premier League and four from Tanzania's top flight.

Kenya-based betting company SportPesa are Everton's new shirt sponsors.

Nimefurahishwa na hili la kuleta timu hii Tanzania...apart from having a better stadium, they are also better at playing soccer than us....hapa kwetu wangetutia aibu kwanza kwa stadium tena wafungwe magoli 10 kwa bila...Hongera Sportpesa...decision nzuri
 
Everton will play against the winner of Sportpesa Super Cup. The tournament will be contested by eight teams from Tanzania and Kenya.

Teams that will fight it out for the Ksh3 million winners’ purse includes Kenyan arch-rivals Gor Mahia and AFC Leopards.

The other Kenyan sides are Kenyan Premier League (KPL) champions Tusker and Nakuru All Stars.

Tanzanian sides include; Vodacom champions Yanga SC and their rivals Simba SC, Singida and Jang’ombe from Zanzibar have also been drawn in the fiercest fixtures pitting regional giants and foes.

Uwanja-wa-taifa.jpg

taifa.jpg
 
Everton will play against the winner of Sportpesa Super Cup. The tournament will be contested by eight teams from Tanzania and Kenya.

Teams that will fight it out for the Sh3 million winners’ purse includes Kenyan arch-rivals Gor Mahia and AFC Leopards.

The other Kenyan sides are Kenyan Premier League (KPL) champions Tusker and Nakuru All Stars.

Tanzanian sides include; Vodacom champions Yanga SC and their rivals Simba SC, Singida and Jang’ombe from Zanzibar have also been drawn in the fiercest fixtures pitting regional giants and foes.

Uwanja-wa-taifa.jpg

taifa.jpg
maendeleo mazuri....naona EAC inakwenda kwa kasi nzuri
 
Hii habari niliiona tokea juzi ila nilikaa nione reaction huku, my findings ni kwamba sisi Watanzania ni watu tupo cool sana wala hatujaja kujidai na kujiproud kuhusu ujio wa Everton just imagine kama ingekua wanaenda Kenya????
FB_IMG_1495908264140.jpg
K
Kingine cha kushangaa ni kwamba wanaosema sportspesa ni yao, sportspesa inedhamini team moja for all that time lakini Tanzania haina hata mwezi wamedhamini team tatu kwa mabilioni ya pesa
 
Hii habari niliiona tokea juzi ila nilikaa nione reaction huku, my findings ni kwamba sisi Watanzania ni watu tupo cool sana wala hatujaja kujidai na kujiproud kuhusu ujio wa Everton just imagine kama ingekua wanaenda Kenya???? View attachment 515384K
Kingine cha kushangaa ni kwamba wanaosema sportspesa ni yao, sportspesa inedhamini team moja for all that time lakini Tanzania haina hata mwezi wamedhamini team tatu kwa mabilioni ya pesa
Kenya kwa sasa inakosa mvuto.
 
Hapa naomba mnisamehe maana uzalendo nauweka pembeni kidogo, mimi huwa naishabikia Yanga SC siku zote. Hivyo hawa Everton waje kama wamejiandaa kushindwa na vijana wa jangwani ambao watakua tayari wamenyakua Sportpesa Super Cup.
Hongera kampuni ya Kenya kwa kuendelea kupepea.
 
Hii habari niliiona tokea juzi ila nilikaa nione reaction huku, my findings ni kwamba sisi Watanzania ni watu tupo cool sana wala hatujaja kujidai na kujiproud kuhusu ujio wa Everton just imagine kama ingekua wanaenda Kenya???? View attachment 515384K
Kingine cha kushangaa ni kwamba wanaosema sportspesa ni yao, sportspesa inedhamini team moja for all that time lakini Tanzania haina hata mwezi wamedhamini team tatu kwa mabilioni ya pesa
wakenya ni wakenya na watanzania ni watanzania...hatuwezi tukafanana kamwe...wala hatuexpect watanzania muwe kama wakenya nasi hatuna nia ya kuwa kama watanzania...kama uliona habari hii hata wiki iliopita basi swadakta...sioni shida hapo...Hongera Sportpesa!!!
 
Back
Top Bottom