Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Na Mikia ni kama Dr Shika anaesubiri hela kutoka Russia na ndio akili za Mikia wanaojipa matumaini ya kumfunga na kumtoa Mazembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Binti Wanjiku naona umerudi baada ya likizo ya uzazi.
Mlianza na Mbabane na sasa mmerukia Mazembe.
Hivi timu yenu haichezi?Anayejifanya Dr.Shika ni nyinyi maskini jeuri.Vipi michango ya usajili imefikia wapi?Imefikia milioni 40??
 
Huyu mshambuliaji wao hatari Tresor Mputu inatakiwa kumfahamu mapema. Jamaa kimuonekano anabadilikabadilika kama kinyonga. Kuna wakati huwa mweupe kama mzungu na kuna wakati huwa mweusi.
Tusichanganywe na ubadilikaji wake.
 
Haujanielewa au ulikuwa unamjibu mwingine? Mm nimesema Simba akipita atacheza na Esperance kwa ratiba inavoonesha toka website ya CAF
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba anakwenda Fainali, Macho yako yanaona kama Mimi ,wanaoteseka wako wapi?
 
Reactions: Tui
lakini nakumbuka mwaka 2011 kama sijakosea simba ilicheza na mazembe tp japo nimesahau matokeo nakumbuka ndo kisa cha samata kufika genk kupitia mazembe kutoka simba wakuu mwenye details atukumbushe,
Shadeeya
@100likes
Joseverest

kwenye hiyo mechi samatta alitupia ndio TP MAZEMBE wakamchukua...

FIRST LEG ILIKUWA NI 20/3/2011 TP MAZEMBE 3 - SIMBA 1
SECOND LEG IKAWA NI 3/4/2011 SIMBA 2 - TP MAZEMBE 3

FACT; NI MCHEZAJI MMOJA TU EMMANUEL OKWI NDIO ALIKUWA KWENYE KILE KIKOSI AMBAE HADI LEO YUPO NA NYIE, WAKATI HUO HUO TP MAZEMBE WALIKUWEPO Rainford Kalaba(yupo pia kwenye kikosi cha mwaka huu) na MIDFIELD MIHAYO KAZEMBE AMBAYE NDIO MANAGER/KOCHA WA TP MAZEMBE KWA SASA
 
WOIII SEMA SANA, NYIE PIGWENI MJE MMALIZIE KIPORO CHENU HUKU
 
WOIII SEMA SANA, NYIE PIGWENI MJE MMALIZIE KIPORO CHENU HUKU
Tukipigwa kwenye hatua ambayo tangu unazaliwa hadi leo hujawahi iona yanga ikifika iyo hatua we hayakuhusu...we yanayokuhusu ni haya ya kupumuliwa na kina lipuli...mwaka huu kuna watu lazima mmepata vidonda vya tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…