mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Jana Serikali imetangaza kutoiilipisha Klabu ya Yanga gharama za uharibifu uliofanywa Na mashabiki wa Klabu hiyo katika mchezo wao na Klabu ya TP Mazembe.Kitendo hicho kinashangaza kwani kinaweza kuvifanya vilabu visiwaelimishe mashabiki wao kutokufanya Fujo Na kuharibu Mali za umma.
Pia kitendo hicho kinashangaza kwani Klabu ya Simba mashabiki wake walifanya fujo Na kuvunja baadhi ya viti na Serikali iliwakata Klabu ya Simba makato kutoka kwenye fedha zilizopatikana kwenye mchezo wao iweje Klabu ya Yanga izilipe nayo huo uharibifu?