Klabu 10 bora Afrika kwa sasa Aprili 2022

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
400
Reaction score
811
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year CAF ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
kumi.jpg

NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
 
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23

View attachment 2181690

Al Ahly, Zamalek na Berkane hawajawahi kutuita kitimu..
 
Hii orodha ni kwa mujibu wa 5 year caf ranking for 2022/23
Simba na Yanga zote hazimo ni wakati sasa timu hizi zijitahidi siyo kitimu kikiingia robo fainali ya mchongo basi kelele nyiiiingii
View attachment 2181690
NB klabu ya tano ni Mamelodi inayotokea South Africa kwa akina ORLANDO PIRATES
Zamalek huyu aliyeishia kwenye makundi anaingiaje hapa??
 
Back
Top Bottom