KKKT WACHUNGAJI WANAKAZI GANI

KKKT WACHUNGAJI WANAKAZI GANI

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
2,912
Reaction score
3,468
Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chskula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno anamuachia mwinjilisti na parish waka. Siku hizi ma parish waka hawafanyi kazi zao za sunday school na kuratibu kipaimara ila utawakuta ndani eti nao wanatoa neno. Kwa chuo gani walichoenda. Askofu ingilia kati tunataka KKKT ile ya zamani sio uhuni wa kurukaruka madhabahuni.
 
Mkuu Dindira unadhan au una uhakika Askofu kiongozi wa kanda hiyo atakuwa anapita na huku?sina shaka kuna njia nzuri na bora zaidi hapo hapo Kanisani kwenu kufikisha ujumbe huu kwa wahusika nakushauri zifuate!
 
Kumbe nao wanakwepa wajibu?waambieni warudishe joho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom