HUGO CHAVES
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 2,045
- 551
migogoro ya kanisa itamalizwa na waumini wenyewe na viongozi wao sio ya kushabikia hata kidogo kwa kuwa mara nyingi huambatana na adhabu za huduma za kiroho ,je wewe utajisikiaje pale utakapoitwa mbele ya waumini wenzio na kuambiwa kuanzia leo wewe si muumini wetu hujalitendea haki kanisa .