KKKT Karagwe yalaani shambulio dhidi ya Fr. Kitima

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235

YAH: SALAAM ZA POLE.​

Kwa niaba yangu binafsi, na kwa niaba ya Dayosisi ninayoiongoza kwa neema, pokea salaam za pole kama Baraza, Kanisa na binafsi kwa Fr. Charles Kitima kwa tukio ovu lililofanyika na kumdhuru mtumishi wa Baraza.

Shambulio hilo si la Fr. Kitima, si la TEC, wala la Imani ya Kikristo TU.
Ni shambulio kwa wapenda HAKI na AMANI wote. Zaidi ni shambulio kwa Mama Tanzania, kilichokuwa kitovu cha amani yetu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Tunasimama nanyi kumuombea apone. Tunasimama nanyi kuwaombea waliomjeruhi wabadilishwe bila kutaka, kuwa watu wema.

Tunaioombea Serikali yetu, isitishwe na ubaya bali iseme,
HAITATOKEA TENA.

Tumsifu Yesu Kristo.
Bwana Yesu Asifiwe.
photo_2025-05-01_20-42-01.jpg
 
View attachment 3322138
CYPRIAN MUSIBA ATUMA SALAAM ZA POLE KUFUATIA KUSHAMBULIWA KWA FR. KITIMA.
 
Baba Askofu Dkt. Bagonza, kwenye suala hili lililozinduliwa kwa Padre Kitima naona kama nawe upo kwenye target ya hawa Watu wadhalimu. Chukua tahadhari kubwa sana dhidi yao.
 
Bagonza ndo amesaini barua iloandikwa Katoroki badala ya Katoliki?
 
Back
Top Bottom