KKKT Jimbo la Magharibi kuna tatizo...

KKKT Jimbo la Magharibi kuna tatizo...

Dindira

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
2,912
Reaction score
3,468
Nawashangaa sana wachungaji wa KKKT hasa jimbo la magharibi DMP. Kwa mwezi mzima utsmuona kanisani mara 2. siku ya chakula cha Bwana na siku nyingine mwisho wa mwezi lkn huwa kazi ya kuhubiri neno anamuachia mwinjilisti na parish waka. Siku hizi ma parish waka hawafanyi kazi zao za sunday school na kuratibu kipaimara ila utawakuta ndani eti nao wanatoa neno. Kwa chuo gani walichoenda. Askofu ingilia kati tunataka KKKT ile ya zamani sio uhuni wa kurukaruka madhabahuni.
 
Utakuta mchunhaji mmoja anatunza sharika nne au zaidi wewe unategemea parish worker asihubiri
by the way kuhubiri ni jukumu la kila mwanadam
 
Back
Top Bottom