Kizza besigye has been shot by police in katwe,kampala

haya mambo jamani!
Besigye si ukubali yaishe na wewe utafuta viwanja vingine vya kujidai kama mkeo Winnie anakula kuku kwa mrija sasa baada ya kuachana na siasa za kutafutana kuuana.

Waachie vijana sasa nawe upumzike.Watakutoa roho bure babu wa watu.
 
Our goverment tools are that way.Kwani situlimuona Josephine wa slaa arusha? Kinachotakiwa ni kuendeleza mpambano ili kujenga ujasiri kwa wengine.
 
haya mambo jamani!
Besigye si ukubali yaishe na wewe utafuta viwanja vingine vya kujidai kama mkeo Winnie anakula kuku kwa mrija sasa baada ya kuachana na siasa za kutafutana kuuana.

Waachie vijana sasa nawe upumzike.Watakutoa roho bure babu wa watu.

Mkuu nina mashaka na ushauri wako huu. Unataka kusema kuwa aache kutetea anachoamini kwa sababu ya M7? Halafu unavosema mke wake anakula maisha hujui kuwa maisha ni zaidi ya fedha na mali? Kama kila mtu akifuata ushauri wako huoni kuwa hakutakuwa na mabadiliko? Nakuomba ufute kauli ili tuwe na kumbukumbu nzuri na posts zako mkuu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom