Una umri gani??????
Ushawahi penda/pendwa weye???
Ushawahi jiuliza kitu gani kilimvutia kwako huyo mtu hadi akakupenda??????
Jibu kwanza haya maswali ndio ntaweza kujibu hoja yako
!nina umri wa miaka 22,yap nimeshapendwa bt cjawah kumuuliza n nn amependa kwangu?nilishapenda bt tangu nilivyotendwa cjawahi penda tena