Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

292837_503275939690325_162404557_n.jpg

Mkuu saudari Mkuu Mbuzi Mzee Mkuu Boflo na Mkuu Bujibuji mnasemaje mtoto huyooooooooooooooo?

mtoto kama huyu ndo nampata the first night naona sitolala nitakua bize tu na pilikapilika za hapa na pale..Mzizimkavu tupatie contact za huyu mnyange may be anaweza penda dread zangu..huwez jua bana
 
Last edited by a moderator:
Shenzi, hawa ndo wanasababisha wanaume tusiendeleze utamanduni wetu wa kuwachapa wake zetu. Eti kibao kimoja kawa mwekunduuuu.


Halafu sisi tuliotoka shamba hata kamchezo unaona kama unamteeesa.
 
mmenichekesha sana na mbwembwe zenu. wanawake nao waje na midume ya JF tuone mziki wake
 
Back
Top Bottom