Kizunguzungu kwishney

Hivi jamani, ni hadithi ipi katika Biblia unaipenda ewe mwana JF?

Mimi Karucee napenda kile kisa cha Nabii Nuhu na wanayama walipokuwa wanaingia wawili wawili.

Na ile ahadi ya Mungu kuwa hakutatokea adhabu kama ile.
 
Hahahahaaaa hahahahaaaaa hahahahaaaa.....!!!!!!!
 
Hivi jamani, ni hadithi ipi katika Biblia unaipenda ewe mwana JF?

Mimi Karucee napenda kile kisa cha Nabii Nuhu na wanayama walipokuwa wanaingia wawili wawili.

Na ile ahadi ya Mungu kuwa hakutatokea adhabu kama ile.

Hahahaa haaaa karucee@ umenichekesha
 
Hivi jamani, ni hadithi ipi katika Biblia unaipenda ewe mwana JF?

Mimi Karucee napenda kile kisa cha Nabii Nuhu na wanayama walipokuwa wanaingia wawili wawili.

Na ile ahadi ya Mungu kuwa hakutatokea adhabu kama ile.

miye bwana napenda kile kisa cha mwanampotevu alivyotapanya mali na kurudi kwa babaye kisha kusamehewa,kweli mzazi ni mzazi tu jamani! Pia tunafunzwa kusamehe!loh safi sana Karucee umenifanya nikumbuke biblia leo wallah tena naenda kwenye maungamo!
 
Last edited by a moderator:
Hayaa kuna kingine cha kutuongezeaaa!!!!
 
Hivi jamani, ni hadithi ipi katika Biblia unaipenda ewe mwana JF?

Mimi Karucee napenda kile kisa cha Nabii Nuhu na wanayama walipokuwa wanaingia wawili wawili.

Na ile ahadi ya Mungu kuwa hakutatokea adhabu kama ile.

Aisee umenichekesha kwelikweli! hivi umefikiria nini mpaka ukafanya hivi?

Mie napenda kisa cha Lutu, Sodoma na Gomora jinsi walivyokuwa na tamaa hadi wakawatamani hadi malaika walokuwa

wamekuja kumuokoa Lutu na familia yake hadi Mungu akaamua kuwapiga upofu, Lutu anawaambia anawapa binti zake

ambao ni bikra lakini walikataa wanawataka tu wale malaika,huwa najiuliza hivi hawa watu walikuwa wanatamaa kias gani

hakika ndo maana waliteketezwa kwa moto.
 
Hivi jamani, ni hadithi ipi katika Biblia unaipenda ewe mwana JF?

Mimi Karucee napenda kile kisa cha Nabii Nuhu na wanayama walipokuwa wanaingia wawili wawili.

Na ile ahadi ya Mungu kuwa hakutatokea adhabu kama ile.

Thank u for being my fan number one, u r always the first to comment on my topics, ubarikiwe sana


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaependa sodoma na Gomorrah ni kabambe kweli


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
I'm happy to be in JF!

Inaonekana mitaa anayoishi huyu kijana, wanawake wote wana vifuu nyuma...
 

Nenda bibi weye.

Tusijisahau sana kwenye haya maisha!!
 
ngachoka mieeee!!
 
Thank u for being my fan number one, u r always the first to comment on my topics, ubarikiwe sana


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
kweli nimeamini wewe ni majanga. Ni kweli ame comment kuhusu topic yako?!!
 
Gogle ukiambukizwa gono na kaswende hama jukwaa hili nenda jf doctor maana unapoelekea ndipo huko .Kule utakutana na akina mzizimkavu watakupa ushauri mzuri.
 
Ficha upumbavu wako hii ni topic yangu, na yeye amecomment hapa


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 

Mkuu everlenk kile kizazi hakika kililaaniwa nina wasi wasi na hiki kizazi chetu ndiko kinakoelekea kizazi cha ufilauni.

Mungu hadhihakiwi hata kodogo, zile tamaa za wale jamaa zilizidi aisee mpaka wakakataa wanawake bikra kisa kuwatamani malaika wa bwana. Hatari sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…