Kizunguzungu kisichoisha

Kizunguzungu kisichoisha

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,046
Reaction score
13,391
Nina shida ya kizunguzungu kisichoisha na kujihisi mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpaka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
 
Labda presha yako ipo chini. Una kilo ngapi? Cheki na damu pia kama imekaa sawa.
 
hi wakuu Ninashida ya kizunguzungu isiyoisha na kujihis mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
Hacha hofu. Huo ni ugonjwa wa hofu,
 
Umejaribu kufanya vipimo gan?
 
Hospital muhim, inaweza kuwa ishu kubwa kama usipoenda kuchek Kwa wakat
 
Wanasema kama hauna maji ya kutosha, kiasi cha damu yako hupungua na kufanya uwe na lower blood pressure ambayo inazuia ubongo wako kupata damu ya kutosha, na kusababisha wepesi, kama huwa sio mpenzi wakunywa maji jitahidi unywe ya kutosha na uende hosp kwa ushauri zaidi!!
 
hi wakuu Ninashida ya kizunguzungu isiyoisha na kujihis mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
Ongeza seli shina zako zitakua pungufu au labda zimedumaa hazijizalishi kwa kipimo kinachohitajika. Tafuta bidha hii. NUTRB NA NURT6. hilo tatizo litaisha kabisa.

Mpigie daktari akiemtibia mwanangu 0714456020
 
shukrani
 
Kizunguzungu kisichoisha ni hiki hapa👇😁😁😁
16559808700323.jpg
 
una blood group gani? kama ni O kachangie damu haraka utapona chap!
 
damu ipo sawa pressure ipo okey, ni kizunguzungu, hofu, sleepless, kujihis mwepesii hali ovyo, kizunguzungu ni sana kichwa hakium sana
Hicho kizunguzungu unakipata hata kama umelala?
Kama jibu ni ndiyo uende hosipitali kubwa uonane na mtaalam wa masikio.
 
hi wakuu Ninashida ya kizunguzungu isiyoisha na kujihis mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
Hiko kizunguzungu kina kuwa kikali zaidi ukiwa kweny position ipi ?

Au kipo mda wote tu ?
 
Back
Top Bottom