Kizazi cha picha!

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani
 
kuna kiboko yao Tyta anawamwagia mapicha hata wasipoomba, so usijali problem solved......
 
Last edited by a moderator:
Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani

kwanza kwenye nyekundu rekebisha iwe saizi na hii inasaidia anayejifunza kiswahili kuelewa na kutoharibu lugha yetu
sasa mkuu wewe unajua kuna aina ngapi za ushahidi na jee na ili habari ikamilike inatakiwa kuwa na nini
 
Ungeacha aharibu tu, sasa wewe ndo umefanya nini hapa? Saizi ni sawa na muda huu?
 
kwanza kwenye nyekundu rekebisha iwe saizi na hii inasaidia anayejifunza kiswahili kuelewa na kutoharibu lugha yetu
sasa mkuu wewe unajua kuna aina ngapi za ushahidi na jee na ili habari ikamilike inatakiwa kuwa na nini
Turekebishe yale ambayo tuna uhakika nayo.
 
mmh hata wewe umekosea mkuu ni "saa hizi"
kwanza kwenye nyekundu rekebisha iwe saizi na hii inasaidia anayejifunza kiswahili kuelewa na kutoharibu lugha yetu
sasa mkuu wewe unajua kuna aina ngapi za ushahidi na jee na ili habari ikamilike inatakiwa kuwa na nini
 
Habarini za sahizi wana mmu mie nashangaa hawa watu ukianzisha siredi wanakuambia weka picha kwani mmeambiwa mie mpiga picha au shule zifungue tu jamani

hebu weka picha kuthibitisha madai yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…