gstar
JF-Expert Member
- Jun 19, 2011
- 814
- 1,490
Baada ya takribani kama miaka 50 hivi ijayo teknolojia itakapokuwa juu sana. Mfumo wa Artificial Intelligence (AI) utakuwa umeimarika kiasi kwamba maroboti yataweza kuwasiliana na kufanya uamuzi unao fanana. Mifumo hiyo itayawezesha maroboti hayo kufanya maamuzi ya hatari kwa kumwasi aliye waumba yaani mwanadamu.
Maroboti yataweza kujitengeneza yenyewe na kujizalisha yenyewe na kuwa mengi zaidi bila msaada wa mwanadamu na kwakufikia hapo maroboti yatakuwa mengi kuliko idadi ya wanadamu, kwasababu upo mpango kabambe ulioandaliwa na illuminati kwa ajili ya kupunguza kizazi cha mwanadamu.
Baada ya hapo itatokea vita kubwa kati ya wanadamu na maroboti. ndege za kivita zisizo na rubani (drones) hazitakubali kumtumikia tena mwanadamu, mabomu makubwa yenyeakili kama Ballistic Missiles hayatakubali kuwapiga maroboti wenzao hivyo katika vita hivyo mwanadamu atashindwa vibaya.
Marobooti yatakimaliza kizazi chote kilichobaki cha mwanadamu kwa kujiongoza yenyewe na kujiconnect kwa high speed wireless network na kwakutumia programming language codes ambazozitafanya usiri mkubwa wa usambazaji wa taarifa zao, hasa kwa kutumia encryption, na lugha mpya za mawasiliano zilizo ngumu kueleweka na mwanadamu.
Maroboti yote yataungana na kuwa na serikali moja, yatatengeneza viwanda vingi kwa ajili ya kuzalisha vipuri vya kuunda maroboti mapya ili kuendeleza kizazi chao, na kufanya kizazi cha maroboti kudumu tena kwa karne kadhaa, kabla ya kuja kuvunjwa na viumbe watakao hamia duniani kutoka sayari za mbali (Aliens. Hiyo ndiyo sayansi itakapotupeleka baada ya miaka 50 ijayo. nimewaza tu lakini.