Kizaa zaa cha watu waliogandana Temeke

Kizaa zaa cha watu waliogandana Temeke

Gomesa

Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
23
Reaction score
1
Unaweza ukawa unasema, Dar es salaam sikuja kuangalia maghorofa, lakinikila siku ukawa unawtiwa changa kutokana na vituko vya mji huu. Hivi hiki kizaa zaa cha mtu na mpenzi wake kugandana wakati wakila tunda mmeisikia, na baadaye kufariki dunia baada ya kufikishwa hospitali ya Temeke? Je! unafikilia nini? Soma zaidi
 
Back
Top Bottom