Kabla ya mazingaombwe ya CD ya Rwakatare hali ya kisiasa ndani ya Chadema ilikuwa haileweki, kumbuka ndiyo kwanza walikuwa wametoka kwenye suala la akina Shonza na watu makini wanaofuatilia duru za kisiasa nchini walikuwa bado wanapima suala hilo uzito wake na madhara yake kama yangetokea.
Ccm sijui kwa kutokuwa na mipango makini au kukurupuka, au kiwewe wakaingia na CD! Chadema sijui kwa umakini au kwa bahati wakalifanyia kazi vizuri sana. Kwanza Mbowe alilibeba vizuri sana kwenye mikutano ya kuzindua kanda, nakumbuka mikutano yake ya Mbeya na kanda ya ziwa alilieleza kwa hisia na kuwajaza watu hasira kwa kuwaaminsha kwamba Ccm inateka watu na kuwaumiza kiasi kile kwa faida za kisiasa.
Kiboko yao alikuwa ni Marando Mabere alipowaumbua watekaji, na kama kawaida yao Ccm wakaja na utetezi 'kipumbavu' eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa! Hivi huu ni upungufu wa umakini kiasi gani?????? Badala ya kuwaondoa watuhumiwa katika tope hili, eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa!!!!
Likafuata suala la kufukuzwa wabunge machachari wa Chadema bungeni, hili nalo kulikuwa na jinsi ya kulikwepa maana Spika wakati anasubiliwa awaondolee adhabu au kuikazia angekuja na kusema nimewasamehe na ninawaonya kwa kosa hilo. Angekuwa ameliuwa suala kisiasa, badala yake akakazia hukumu na vijana wakaingia mitaani wakaomba huruma ya wananchi na kweli wakaipata. Ukidadisi maoni ya watu wanasema baada ya kuua uhuru wa vyombo vya habari na mahakama sasa wameliua bunge.
Kiwewe kikaendelea kwa suala la Lema, ujinga, ujinga, ujinga juu ya ujinga!!!!
Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?
CCM wamesaidia sana kuenea kwa CHADEMA kwa siku za karibuni...
Hata vijijini ambako walikuwa hawaisikii CDM, siku hizi imekuwa ndiyo stori za vijiweni kwa sababu ya kazi kubwa inayofanywa na Nape na Mwigulu...
Chimba kaburi udumbukie mwenyewe. R.I.P gamba
udini utawaua magwanda bila siraha ni ukichaa
Kabla ya mazingaombwe ya CD ya Rwakatare hali ya kisiasa ndani ya Chadema ilikuwa haileweki, kumbuka ndiyo kwanza walikuwa wametoka kwenye suala la akina Shonza na watu makini wanaofuatilia duru za kisiasa nchini walikuwa bado wanapima suala hilo uzito wake na madhara yake kama yangetokea.
Ccm sijui kwa kutokuwa na mipango makini au kukurupuka, au kiwewe wakaingia na CD! Chadema sijui kwa umakini au kwa bahati wakalifanyia kazi vizuri sana. Kwanza Mbowe alilibeba vizuri sana kwenye mikutano ya kuzindua kanda, nakumbuka mikutano yake ya Mbeya na kanda ya ziwa alilieleza kwa hisia na kuwajaza watu hasira kwa kuwaaminsha kwamba Ccm inateka watu na kuwaumiza kiasi kile kwa faida za kisiasa.
Kiboko yao alikuwa ni Marando Mabere alipowaumbua watekaji, na kama kawaida yao Ccm wakaja na utetezi 'kipumbavu' eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa! Hivi huu ni upungufu wa umakini kiasi gani?????? Badala ya kuwaondoa watuhumiwa katika tope hili, eti kuingilia mawasiliano ya mtu ni kosa!!!!
Likafuata suala la kufukuzwa wabunge machachari wa Chadema bungeni, hili nalo kulikuwa na jinsi ya kulikwepa maana Spika wakati anasubiliwa awaondolee adhabu au kuikazia angekuja na kusema nimewasamehe na ninawaonya kwa kosa hilo. Angekuwa ameliuwa suala kisiasa, badala yake akakazia hukumu na vijana wakaingia mitaani wakaomba huruma ya wananchi na kweli wakaipata. Ukidadisi maoni ya watu wanasema baada ya kuua uhuru wa vyombo vya habari na mahakama sasa wameliua bunge.
Kiwewe kikaendelea kwa suala la Lema, ujinga, ujinga, ujinga juu ya ujinga!!!!
Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?
Akina Mangula na Kinana wanakuwa wapi wakati chama kinafanya makosa ya kijinga na kitoto namna hii?
CCM wamesaidia sana kuenea kwa
CHADEMA kwa siku za karibuni...
Hata vijijini ambako walikuwa hawaisikii CDM, siku hizi imekuwa ndiyo
stori za vijiweni kwa sababu ya kazi kubwa inayofanywa na Nape na
Mwigulu...
Nani mdini, kati yetu? Suala la kuipromot chadema na dini yangu wapi na wapi? Usintafutie talaka nikaanza kuvaa mavazi ya eda mtoto wa mwanamke mwenzio mie.
Hivi Mwigulu yupo hapa Tanzania.?
Maana simsikii bungeni uraiani hata kwenye mitandao.!!
hiki chama bila kurudi mikononi mwa wazee basi CDM inachukua nchi kiulaini kabisa; sasa na sisi tusiandike andike hivi maana tuta-wastua mapema.Chama hiki kina washauri? Washauri wenyewe ni kina Nape na Mwigulu? Kama ni hao chama kimefilisika kiasi hicho?