jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,016
Habari wakuu,kuna jamaa yangu anauza kiwanja chake maeneo ya Kigamboni Vijibweni,
Ukubwa wa kiwanja ni miguu 19 kwa 16
(Kinatosha vyumba 2 + sebule + packing ya gari moja)
Kimepakana na majirani waliojijenga vizuri sana.
Kipo mita 800 kutoka hospitali ya wilaya ya vijibweni.
Barabara ya gari mpaka mlangoni,umeme nguzo ipo mita 5 kutoka kwenye kiwanja.
Kiwanja hakijapimwa (squatter)
Mauziano yatafanyika ofisi za serikali Za mitaa.
Sababu za kuuza ni muuzaji anashida ya haraka ya kutatua,hivyo anauhitaji wa haraka wa pesa.
Kwa muhitaji tuwasiliane kwa 0621003284.