Eneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa Jumamosi (Loliondo). Linapatikana kupitia barabara ya Tamco-Mapinga, ambayo ipo katika ujenzi wa kiwango cha lami, ikianzia shule ya Baobab hadi kituo cha mabasi cha Kibaha, njoo ulipie bei ileile ya serikali....6.5m. Unaweza lipia kwa awamu (Shikamoo Matatizo)