Kiwanja sengerema

Kiwanja sengerema

MunyetiGB08

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
86
Reaction score
12
Natafuta kiwanja sengerema mjini chenye angalau ujazo wa kati p (medium density) mwenye kufaham anaekiuza plz tuwasiliane kupitia +255 765 187 795 au kupitia munyetib@gmail.com
 
Me ninacho, kipo bujora ya Sengerema, ukubwa 17x40, Kama Bado hujapata tuwasiliane kwa 0717250805
 
Kipo karibu na makazi ya watu, ila cjajua ni bujora ipi kwasababu siyo mwenyeji sana, ni viwanja vilivyouzwa kwenye mradi wa UTT, kipo jirani na viwanja vya national housing
 
bei ni 2.8m, ukiwa tayari tuwasiliane, kiwanja nilikinunua Halmashauri na file lake lipo office ya ardhi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom