Kiwanja/nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja/nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgibeon, Sep 3, 2011.

 1. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Salama? Kuna nyumba ambayo haijakamilika(bangaluu)! Ina 1masterroom, 2bedrooms, sitting n dining rooms, ina kitchen, store ndogo, na choo+bafu..! Ipo kunduchi-mtongani njia panda ya kwenda wet n'world, ni nyumba ya pili kutoka barabarani..! Kwa anaehitaji bei ni 35mil, dalali haitajiki, mawasiliano 0772044611,.!
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu ingekuwa vizuri ungeweka picha at least watu wangevutika zaidi
   
 3. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma kaka..
   
 4. papason

  papason JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Plot ilipojengwa hiyo nyumba in ukubwa gani? imepimwa? ina hati?
   
 5. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2011
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu haimo kwenye eneo la kujidai la mheshimiwa Pombe kweli hii? Usije ukawa unawauzia watu wengine matatizo.
   
 6. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,440
  Likes Received: 9,090
  Trophy Points: 280
  Thanx wadau, biashara ishafanyika..
   
Loading...