Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,073
Reaction score
1,563
Namtaka bingwa wa kuona Mbali.
Mwenye macho ya Eagle 🦅

Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi.
Hizo nyumba mbili unazoziona.
Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja.

Sqm 629.78
Hati Safi
Hakuna mgogoro
Dakika moja Hadi barabara kuu ya Goba.
Milion 150

Hii Bei usishtuke wewe njoo umvuruge mwenye hii mali yaani njoo uvuruge Kweli.

Nunua Jenga apartment weka wapangaji,chukuwa gazeti usome.

Kwa ukaguzi nipigie simu 📱0754693556

Wakuu video ina MB nyingi saana imekataa kuaplodiwa.
Njoo wasap nikutumie video.
 
Hati safi, ungetoa namba ya hati ili watu wawe huru kufanya search kama kweli ipo safi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom