kiwanja kipo njiro arusha eneo la kwa masista block J kinaukubwa wa 15 kwa 25 na kina hati miliki (title deed), na udongo wa ardhi hiyo ni mwekundu. Bei ni shilingi miliono thelathini (30,000,000/=) kwa mawasiliano nipigie namba 0768- 91-36-94.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.