Kiwanja na nyumba kinauzwa Arusha

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Habari,

Kichwa cha habari kinajieleza.

Kiwanja kipo uswahilini mwisho wa Ice maji na umeme umefika kadhalika gari inaingia. Ukubwa 28x8 kina nyumba ya vyumba vi tano (5) viko kwenye lenta.Bei: 15ml. Mazungumzo yapo.
 
Ukubwa mkuu ni 28×8??hebu angalia vizuri hizo namba!na pia ungeweka picha ingekua vyema zaidi..
 
Iyo nyumba itakua imejengwa local, nahisi haina professional architecture drawings, which is very risky.
 
Pia itakuwa juu ya bomba kuu la maji.

Eneo oevu na tengefu,mnunuzi kuwa makini
 
Habari,

Kichwa cha habari kinajieleza.

Kiwanja kipo uswahilini mwisho wa Ice maji na umeme umefika kadhalika gari inaingia. Ukubwa 28x8 kina nyumba ya vyumba vi tano (5) viko kwenye lenta.Bei: 15ml. Mazungumzo yapo.

28x8 sio kiwanja ni Barabara au fremu za maduka, weka picha hapa, mwisho wa Ice ni wapi, Magugu au Mdori?!
 
Ambao mlikuwa mkihitaji PC hizo hapo[emoji115]
 
Habari,

Kichwa cha habari kinajieleza.

Kiwanja kipo uswahilini mwisho wa Ice maji na umeme umefika kadhalika gari inaingia. Ukubwa 28x8 kina nyumba ya vyumba vi tano (5) viko kwenye lenta.Bei: 15ml. Mazungumzo yapo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…