...mimi pia nauza kiwanja changu mwenyewe square metres 592...maeneo hayo hayo ya mbezi msumi..!! Metre 70 Kutoka barabara kuu..Nauza kiwanja kwa bei ya kutupwa milioni 6 kina ukubwa wa hatua za miguu 20 kwa 23 hakuna udalali mim ndo mmiliki wa icho kiwanja kipo mbezi msumi jirani na shule ya sekondari mbopo
....ooh pole...nitafungua...sorry [emoji119]Bro nawew si ungefungua thread yako bhana