Kiwanja maeneo ya kitunda

Kiwanja maeneo ya kitunda

escober

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
391
Reaction score
98
Naulizia kwa mtu ambaye anauza kiwanja maeneo ya kitunda au sehemu jirani kama kivule,nyantira nk aniambie tufanye biashara.
Kiwanja kiwe karibu na barabara na huduma zote za kijamii kama vile umeme ziwepo.

asanteni
 
Back
Top Bottom