KIWANJA KINAUZWA β GOBA NJIA NNE π
πΉ Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale
πΉ Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell
πΉ Ukubwa: SQM 540 β za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako
πΉ Bei: Milioni 38 tu!
β
Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi
β
Tayari linafikika kwa gari
β
Fursa nzuri ya uwekezaji au makazi
π Wasiliana nasi sasa:
Call/WhatsApp: 0742 892 198
Usikose nafasi hii β miliki ardhi yako leo! π‘