Kiwanja kiwanja kiwanja kwa bei cheeeeee…

Kiwanja kiwanja kiwanja kwa bei cheeeeee…

GHANI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
926
Reaction score
638
Kiwanja kina ekari moja kipo njia panda Moshi kando kando ( 30metres) ya barabara kuu kutoka Dar es Salaam/Arusha. Umeme na maji ya bomba vipo ni sehemu nzuri ya biashara kati ya miji midogo ya Himo, Holili, Njia panda, na Chekereni.kiwanja kimekwishapimwa na kinafaa kwa ujenzi wa petrol station, hospitali, shule, makazi n..k. mfanyabiashara wahi mapema ukanufaike na biashara na soko kuu la kimataifa litakalojengwa katika ukanda huo. BEI TSH 15M..
MAWASILIANO.
TUMA PRIVATE MESSAGE(PM) AU
0754466824.
 
changamkeni wakuu hii ndio asset ya uhakika isiyo na hasara kwenu na kwa watoto wenu.
 
Hebu tupe size ya kiwanja na maelezo documents gani unazo tayari. kama una picha tuwekee tafadhali au ni pm.
 
Hebu tupe size ya kiwanja na maelezo documents gani unazo tayari. kama una picha tuwekee tafadhali au ni pm.

mkuu mbona maelezo yote yapo, ok ni ekari moja.
 
Mimi nina m5 mkuu, sema kama uko tayari tumalize biashara leo leo!
 
Kiwanja kina ekari moja kipo njia panda Moshi kando kando ( 30metres) ya barabara kuu kutoka Dar es Salaam/Arusha. Umeme na maji ya bomba vipo ni sehemu nzuri ya biashara kati ya miji midogo ya Himo, Holili, Njia panda, na Chekereni.kiwanja kimekwishapimwa na kinafaa kwa ujenzi wa petrol station, hospitali, shule, makazi n..k. mfanyabiashara wahi mapema ukanufaike na biashara na soko kuu la kimataifa litakalojengwa katika ukanda huo. BEI TSH 16M..
MAWASILIANO.
TUMA PRIVATE MESSAGE(PM) AU
0754466824.

Inakuwaje Godfey Mboya unauza ardhi kwa bei mbaya hivyo? Raisi alishatangaza acheni kuuza ardhi kwa kuwakomoa wateja.
Halafu ukishauza utuarifu tukukumbushe ukalipe kodi halali.
 
Inakuwaje Godfey Mboya unauza ardhi kwa bei mbaya hivyo? Raisi alishatangaza acheni kuuza ardhi kwa kuwakomoa wateja.
Halafu ukishauza utuarifu tukukumbushe ukalipe kodi halali.

hahaha ni bei ya kawaida sana 15M inakutisha piga kazi sana itakusaidia.
 
Kiwanja kipo jembe bei inacheza 15-16M changamka mkuu usilaze damu kama mambo yapo vibaya kama unavyosema kuna kiwanja kingine kigoma mwisho wa reli nakiuza laki 1 unitafute hicho kitakufaa mkuu hichi waachie wenye nazo.ujumbe kwako distazo.
 
mkuu mimi naishi holili hebu niambie kiwanja kipo wapi, ili nifikirie mara mbili

kiwanja kipo njia panda ya moshi nakinapakana na barabara kuu ya Arusha Dar, so kama upo interested unaweza kunicheki mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom