dip pub
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 389
- 74
Kiwanja kinauzwa kipo kinyerezi kina ukubwa wa squire meter 2600 kimezungushiwa fensi kina hati na kimepimwa
kwa mawasiliano piga
0714358610
kwa mawasiliano piga
0714358610
kama huwezi piga unaweza ukani PM au whatsap pia...
ndugu inaonekana unapenda kufanya vitu kwa mazoeaMkuu,
Utaratibu wetu JF ni kuweka bei, picha na taarifa zote zinazotakiwa, kisha yule mwenye uhitaji ndiye anakuja chemba (PM au simu) ili muweze kuelewana. Ni utaratibu wa kawaida tu mkuu ambao hapa jamvini ndio jadi yetu.
ndugu inaonekana unapenda kufanya vitu kwa mazoea
hapana milioni 140nimempigia simu, anauza milioni nane wakuu
Ndio tatizo la udalali,anaogopa watu watampa changamoto kwa bei yake ya kilanguzi atakayo weka maana humu watu wanajua bei za ardhi za kila eneo Dar.Mimi siku hizi humu JF mtu asipo weka bei hadharani wala siji sumbui hata kama nahitaji mno hiyo bidhaaMazoea na utaratibu ni vitu viwili tofauti.
Acha uoga na kutafuta sababu za kujitetea,tuwekee bei hapandugu inaonekana unapenda kufanya vitu kwa mazoea
Kwa watu mwenye uhitaji kweli mbona wanapiga simu ndugu yangu
unajua sio kila mtu anayepitia huu uzi basi ni mnunuzi,ndo maana nikaweka namba ya simu kwa yule mwenye uhitaji atapiga simu au ataPM