Kiwanja kinauzwa bei ni mil 20 kimepimwa na hati ipo. kama unayo ni PM
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
bei ipo juu ila kila la kheri mkuu
Kinayo nyumba ama ni ivo ivo tu, maana hiyo bei?
Kiwanja kina hati milioni 20 bei ipo juu kweli?.