Kiwanja kingine kinauzwa burka arusha

Kiwanja kingine kinauzwa burka arusha

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
Kiwanja kinauzwa eneo la burka block a,ukumbwa ni medium density. Skwea mita 866 sawa na hatua 41 urefu kwa upana 20. Ni eneo zuri mnoo lenye mpangilio wa makazi. bei 28m ila maelewano yapo . kwa maelezo zaidi tuma pm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom