Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Kiwanja kinauzwa chenye ukubwa wa ekari 4 (squire meter 16690) kiko kunduchi beach ufukweni kabisa
kimepimwa na kina hati pia kiko ndani ya fensi bei ni $1.8 mil.
mawasiliano zaidi piga no.
0714358610
 

Attachments

  • 15062014113.jpg
    15062014113.jpg
    19.4 KB · Views: 245
  • 15062014114.jpg
    15062014114.jpg
    17.4 KB · Views: 224
Kiwanja kinauzwa chenye ukubwa wa squire meter 16689 kiko kunduchi mtongani
kimepimwa na kina hati pia kiko ndani ya fensi
mawasiliano zaidi piga no.
0714358610

Weka Bei!!
 
Kiwanja kinauzwa chenye ukubwa wa ekari 4 ( pia kiko ndani ya fensi bei ni $1.8 mil.
mawasiliano zaidi piga no.
0714358610
asipogundua mwenye kiwanja kama unapandisha bei hivi atakesha nacho.
 
Dah bei hiyo Simba inaweza msajiri mcchezaji wa Stock City
 
Kwa hiyo vile "vijisenti" vya yule mzee wa Harvard vinaishia kwenye kiwanja tu! Kwa kweli nchi inahitaji "Ewura"wa ardhi.
 
Kiwanja kinauzwa chenye ukubwa wa ekari 4 (squire meter 16690) kiko kunduchi beach ufukweni kabisa
kimepimwa na kina hati pia kiko ndani ya fensi bei ni $1.8 mil.
mawasiliano zaidi piga no.
0714358610

Squire meter ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom