Kiwanja chenye ukubwa wa robo eka kilichopo maeneo ya Tegeta Salasala kinauzwa. Kuna servants quarter ya vyumba viwili na varanda pamoja na shimo kubwa la choo. Pia kuna ukuta wa mpaka uliojengwa. Kiko kwenye eneo la utulivu kabisa na kipo pembeni ya barabara.Atakayeweza kukinunua kabla ya tarehe 29/04/2014 atakipata kwa bei ya kutupa ya TZS 35 Million. Baada ya tarehe hiyo bei itakuwa TZS 50 Million.