Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

uzalendo kazi

Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
26
Reaction score
1
Kiwanja kiko mbezi msakuzi ukubwa mita 53 kwa 33. Eneo ni karibu na kwa asenga,kisabo shopping center na fm lodge. Bei ni sh. Milioni 9 tu. Hatakiwi dalali. Anayehitaji awasiliane na muuzaji 0752635663.au email stimea28@yahoo.com
 
Eneo ni karibu na kwa asenga,kisabo shopping center na fm lodge. = ndio pande zipi wengine hatukujui huku...mkuu tangaza vizuri uuze!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom