Kiwanja kinauzwa.

Kiwanja kinauzwa.

Kashaija

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
255
Reaction score
64
Kiwanja kinauzwa eneo la Sinza karibu na Shule ya Mapambano, kina fence. Ukubwa: 4000sqft, kinafaa kwa makazi au biashara. Bei ni maelewano baada ya kukiona. Piga 0767 591610. Dalali hatakiwi.
 
Yaani kaka yangu nitoke Chakwale huku Berega, Gairo nije kukiona ndio unipe bei kiongozi? Weka tu bei hapa iwe rahisi kwa watu kuamua mkuu, huku kwetu elfu 15 napata kiwanja na miti yote iliyomo ndani tena cha barabarani sasa nikija na hiyo picha kichwani mkuu si tutakwazana bure kisha!
 
Yani mpaka nitoke huku Sambrichore Tarime nije Dar ndio unipe bei mkuu lol!
 
Acha biashara ya gizani, kimwagie sifa hicho kiwanja na bei yake. Acha longo longo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom