kiwanja kinauzwa

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
kiwanja kinauzwa, kipo ubungo kibangu ukubwa 18x20 gari inafika na kuna tofali zakutosha kabisa ambazo mmiliki alitaka kujenga then yakatokea matatizo.bei 6MILION pia kuna maelewano kwa mwenye kutangaza nia contact ni 0714812375,
 
Nakatika sana mkuu ila ningependa kukiona pia kujua kama kuna maji na umeme karibu na kama sio chauchakachuaji na naweza kukinunua kwa tsh milion 4 tuu.
 
hivi kiwanja cha size hio si kidogo sana jamani,nyumba ya wastani ya vyumba vitatu inatosha?
 
kiwanja kinauzwa, kipo ubungo kibangu ukubwa 18x20 gari inafika na kuna tofali zakutosha kabisa ambazo mmiliki alitaka kujenga then yakatokea matatizo.bei 6MILION pia kuna maelewano kwa mwenye kutangaza nia contact ni 0714812375,

kuna m3.5 hapa, kama vipi ni PM,nafahamu lazima kutakuwa ni uswahilini sana
 
Kwa wanaoijua Kibangu,
Unaingilia na wapi??
Umbali gani from any of Mandela or Morogoro Road??
 
Mimi nina 5m ila ongezea nyama kwenye thread yako,umbali kutoka barabara kubwa,maji,umeme n.k.
 
Back
Top Bottom