kiwanja kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiwanja kinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by gozo, Feb 19, 2012.

 1. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  habari wakuu..

  Kiwanja kina ukubwa wa nusu eka 70*35 kinauzwa mil 8 kipo maeneo ya kiluvya kwa komba ni jirani kutoka barabarani(morogoro road),maji yapo,umeme upo na barabara ni nzuri mpaka kufika eneo la kiwanja..

  Kwa mawasiliano piga 0715 369096
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mkuu kwa Kiluvya, hiyo bei haiwezi kushuka tukafanya biashara?
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  mdau ni Km ngapi kutoka Moro road?
   
 4. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  inashuka mkuu we nichek kwenye number hapo juu tuongee,karibu.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,889
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nitaku-pm mkuu, maana gharama za simu toka huku ughaibuni kuja Tz ni sawa na bei ya kiwanja kwa ajili ya kodi za mafisadi.
   
 6. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sina uhakika ni km ngapi mkuu lakini ni mwendo wa nusu saa kwa miguu au dakika kumi kwa pikipiki kutoka barabarani,karibu.
   
 7. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  sawa mkuu,karibu.
   
 8. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  ok. Ni kama Km 3. Thanx
   
 9. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  karibu.
   
 10. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Habari wakuu..

  Kiwanja tajwa hapo juu(nusu eka 70*35) kimeshauzwa leo asubuhi lakini kuna kiwanja kingine hapo hapo kiluvya,kinafikika kwa urahisi,maji na umeme vipo na ukubwa wake ni 60*50 na bei ni mil 6.5

  kwa mawasiliano zaidi namba ya simu chek hapo juu
   
 11. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mkuu wewe ni dalali?? nataka eka moja ntapata kwa ngapi maeneo hayo ya kibamba au kiluvya umbali kutoka morogoro road usizidi km2
   
 12. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hapana mimi sio dalali mkuu,eka moja unapata maeneo ya kiluvya kwa komba bei ni mil 15,karibu.
   
 13. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Hizi biashara za kutangaza na kununuliwa papo kwa papo? NIandalie nami changu nije nikione kesho nikichangamkie.
   
 14. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kipo eka moja maeneo ya kiluvya bei ni mil 15,karibu.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,112
  Likes Received: 2,218
  Trophy Points: 280
  Mkuu kiluvya ni kibaha au hipo mbezi kwa komba,ebu fafanua wengine hatupajui!
   
 16. gozo

  gozo JF-Expert Member

  #16
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mkuu kiluvya ipo kabla ya kibaha yani inaanza mbezi-kibamba-kiluvya-kibaha..
  Nadhani unakuwa umenielewa,karibu.
   
 17. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu mwendo wa dakika kumi kwa pikipiki haiwezi kuwa km 3 tu. Na hata kwa miguu huwezi kutembea km 3 kwa nusu saa. Ni kama km 8 hivi.
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 12,793
  Likes Received: 1,581
  Trophy Points: 280
  Mkuu inawezekana zikawa km 3. Kuna jamaa yangu anaishi km 3 toka barabarani na unatembea kwa dkk 15 hadi 20. Pia inategemea hali ya barabara
   
Loading...