Kiwanja kinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by NGOWILE, Nov 18, 2011.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kinauzwa kipo dodoma mtaa wa hazina karibu chuo Cha uuguzi mirembe.kina hati na kina ukubwa 28 for 18 meters.bei maelewano nipigie 0713=014400
   
 2. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Weka bei!
   
 3. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,992
  Likes Received: 990
  Trophy Points: 280
  Jaribu kumwuzia yule member anayepiga kelele sana hapa jamvini ili aweze kuwa karibu na matibabu
   
Loading...