Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Kipis

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2011
Posts
512
Reaction score
143
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya kigamboni kwa pinda. Kina ukubwa wa futi 60 kwa 70 kinatazamana na fun city. Bei 6'000'000/= 0784664478
 
kimepimwa? maeneo kibao ya kigamboni yamehifadhiwa kwa projects za mipango miji.
 
Bado hakijapimwa,ila nilishaenda ardhi kwa ajili ya kupata uhakika juu ya hilo ambalo una shaka nalo,niliambiwa kuwa hakuna mradi wowote wa serikali ambao umebuniwa isipokuwa ni eneo la makazi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom