ulifanya kosa mwanzoni kabisa ulipoweka tangazo, ulitoa majibu ya jeuri na inawezekana miongoni mwa uliowajibu wangeweza kununua ukumbuke wakati mwingine kuwa muungwana kwa unaowajua pamoja na usiowajua.